Thursday, August 03, 2006

Do you think its time now for our government to invest in technology?

Najua bado bongo tuko nyuma kwa mambo mengi muhimu kwa binadamu, lakini naona technology itatusaidia kutatua na kurahisisha mambo mengi. kwa mfano, wizara nyingi tu bongo bado wanatumia files ku-save infomation za watu, na information nyingi tu zinakuwa zinapotea. Gov wakiamua kuweka networkin yao na database, it will help to secure and kurahisisha kazi za wafanyakazi. Kwa namna moja au nyingine, technology will save money for the gov. Huwezi kuamini mapka sasa hivi bank kubwa bongo(sihitaji jina) wanatumia Internet connection ya 56kbps, and internet services ya nyumbani bado bei kubwa. Huwezi amini dial up connection ya nyumbani itz almost $80, usiulize dsl or wireless connection nyumbani kwako ( at least buku( for wireless)..nikosoe kama nimekosea hiyo bei)..... Tunajua tuna safari ndefu kwenye mambo mengi ya kimaisha lakini tusisahau technology pia.Ninaona mwanzo mzuri tu wa kuendeleza hii sector, naona TTCL wana-install new cables, tryin to use fibers coming from Kenya na kuweka minara mingi tu ili kuweza kuwa na stable connection. still we need to spend more kwenye tech..

Technology pia itatusaidia kutatua matatizo yetu ya umeme na maji( naongelea sana haya cuz ni mahitaji muhimu). Kuna technlogy nyingi tu ambazo hazitachukua muda mwingi kama hizo za gov wanazotaka kufanya ( umeme kupitia gas (songosongo)..mtu mpaka unasahau yaani kama kuna mradi huo..kama kawaida watu wanachukua chao...wamenunua magenerator ambayo yakiharibika inabidi mtu atoke mexico hadi bongo aje kufix....they cant train how to fix hizo generators kwa wasomi wetu wa pale UD..anywayz thatz another story..)

Also, technology vile vile itatusaidi kutatua haya mambo ya ujambazi, ajali, na vitu ambavyo binadamu anao uwezo wa ku-limit negative outcomes zake. Hivi ushawahi kufikiria polisi wanawakamata watu vipi?.(.sijui labda ya word of mouth)...mtu akikusingizia je?....am just curious to find other ways wanazotumia...vitu kama forensic science vingewasaidia..lakini mkubwa wa polisi(nisamehe) badala ya kufikiria effective strategy ya vitu kama hivyo..yeye anaona kucheza pool mchana ni kitu hatari sana. One of the 7 habits of effective people is "begin with the end in the mind". Kama hawa jamaa wangetumia at least one of the habits, ingewafungua macho....being visionary...Technology pia itatusaidi sana kwenye mambo mengi tu huwezi kumaliza kuandika; i think its time to think about it..badala ya kuiba hela na kununua prado au kumjengea kimada nyumba (sijui kuhusu hili), they should think what technlogy can do for us.

Quotes of today:
"Leadership is not a position, is a choice"
" If you can understand first your own temperament and thinking preferences,you can learn to tolerate the differences you encounter, and you can also learn to step outside the box of your own characteristics"

0 Comments:

Post a Comment

<< Home