Tatizo Letu Sisi Wabongo:
Hivi jiulize kuna vitu vingapi vibovu au dili(backdoor issues) unazozijua kuhusu serikali yetu?..Jiulize tena, kama unavijua umevipata wapi?...Magazeti, Tv or kijiweni?..mengi ni kwenye vijiwe, bar, mara chache sana kwenye magazeti. Tatizo letu sisi wabongo ni waoga wa Changes. Wabongo kazi yao ni kuongea na kulalamika tu kwamba huyu kafanya hivi, huyu kaiba hivi, hii si halali kabisa, lakini hatuwezi kusimama na ku-demand changes for the sake of ourselves, our family, and nchi yetu kwa ujumla. Wabongo tuna-umimi sana, nishibe mimi kwanza then nimuulize mwenzangu kama amekula!. Wangapi walijua kwamba TANESCO ilinunuliwa na watu wanne tu?..mmoja wao ni mtoto wa aliyekuwa Raisi(mnajua jina lake)? Wengi tu walijua lakini walifanyanya nini? waliongea, wakalalamika, wakaandamana siku moja ikaisha..na mjadala ukafungwa. Mnakumbuka watu wangapi walikosa benefits zao baada ya hao filauni wanne kuchukua TANESCO?....imagine wewe umefanya kazi miaka 30 na siku moja all your benefits zinachukuliwa?..ndio yaliyotokea kwa wengi tu..wengi tu wao ni wazazi wetu au wa rafiki zetu, pengine ndugu zetu lakini hatukuwa na nguvu ya kusema liliko mioyoni mwetu! Na Nani hajui kuhusu mkataba wa IPTL?? wabongo walifanya nini kwani?....kimyaaa...
Wabongo wanajua makapuni mangapi yamechukuliwa na wageni kwa hasara( i.e. NBC etc) na watu kupoteza kazi lakini wamekaa kimya(..kuongea kwenye bar au kijiweni ni sawa na kukaa kimya). Hii kasumba iliyowekwa na Chama tawala(sijui chama gani) inabidi ibadilishwe. Chama Tawala wanajua kwamba wabongo kazi yao ni kuongea na hawajali..thatz why they can do anything mbele ya macho yetu bila uoga na aibu na wanajua wananchi hawatafanya kitu. Mwezi tu uliyopita, zilipitishwa budget za ki#@$% na wengi tu walijua lakini nini kimefanyika?
Kwanini tunalalamika sisi maskini, au ohh serikali haifanyi kazi yake wakati hatuna hata uwezo wa kuikosoa hiyo serikali na viongozi wetu hatuna?
Itz time to stand up, sio kuchukua silaha( ukifika muda wake..why not), bali kuongea, kutoa maoni yako, kutoa sauti yako ili isikike. Muda wa kukaa kimya umepita, paza sauti upate mahitaji ya lazima ya binadamu( i.e maji, umeme, na chakula). Muda wa kujua wala rushwa, viongozi wachafu, wasio na huruma ya kutumikia wananchi wake na kukaa kimya umepitwa na wakati. Unajua kuna watu wangapi hapo Bongo land wana hela za kumwaga na watu wanajua za wizi.sa kwanini ukae kimya? unajua viongozi wa ngapi wamekopa mamilioni ya hela na bado hawajalipa, sasa kwanini ukae kimya?
Hatuwezi kusaidiwa bila sisi kujisaidiwa kwanza! Wakati ndio huu, Kwanini wabongo tulipe umeme ghali kusini mwa bara la afrika wakati si ni maskini wa kutupwa?..Kwanini hatuwezi kuwa na umeme bila matatizo after more than 40 years of independence? ..Simama toa dukuduku lako, maoni yako......itaendelea ( Lugha ni E hapa jongea nami.)

4 Comments:
Here are some links that I believe will be interested
I like it! Good job. Go on.
»
Interesting website with a lot of resources and detailed explanations.
»
good point, kamata silaha tuingie msituni
Post a Comment
<< Home