Tuesday, August 08, 2006

Ziwa Victoria Limeuzwa?
Hivi haya ni ya kweli..ziwa letu..mali asili ya wabongo limeuzwa? ( nimepata info kutoka watu wanaojua hii issue)..viongozi wetu hawana aibu hata kidogo hawa s%^&$ zao.. huwezi amini kwamba wananchi mwanza hawaruhusiwi kuvua samaki..wanakatazwa..walionunua hilo ziwa wamekataza.... jamaa wanachukua minofu yote na kuwaachia wananchi mabaki( ndio yanaitwa mapanki)yaani ukikamatwa na samaki mwanza, au musoma, bukoba, ni kosa la jinai vile..utapigwa na kuteswa na kufungwa ikiwezekana..hivi tumefika wapi sasa hivi?Kwa mwananchi wa kawaida, kukutwa na samaki ni kosa kubwa sana yaani.. mimi binafsi sijaamini na baod siamini.... I hope somebody ataniambia hizi sources za data zangu sio kweli....somebody plz kama unazo hizi information hit me up...we need to get the truth..inakuwaje nchi inauza ziwa lake yaani?....kule bongo ni noma kwa ushenzi na ufilauni.. ziwa kubwa na lenye thamni sana linauzwa kwa kampuni/mfanyabiashara/wazungu..?? How?..Kuman^%^&&** yaani.. Kikwete inabidi afuatilie haya mambo instead ya kubisha.. I will update bout the issue as soon as i found out more..

0 Comments:

Post a Comment

<< Home