Dili lingine la Insurance Bongo:
Moto unaosadikiwa kusababishwa na vipisi vya sigara umeteketeza kiwanda cha mbao na kusababisha hasara ya shilingi milioni 8. Akiongea na Alasiri Kamanda wa Polisi Manispaa ya Temeke, Emmanuel Kandihabi amesema moto huo unasadikiwa kuanza majira ya 9:45 usiku katika maeneo ya Keko Toroli. Amesema kiwanda hicho kinamilikiwa na Bw. John Mhagama, 48. Amesema kwa mujibu wa Bw. Mhagama anasadiki moto huo ulishababishwa na wafanyakazi wa kiwanda hicho waliokuwa wakivuta sigara na kutupa chini vipisi vyenye moto ambao ulishika katika mavumbi ya mbao. Amezitaja mali zilizoteketea kuwa ni pamoja na mashine kubwa ya kuchongea mbao yenye thamani ya shilingi Milioni 6.5 na mashine nyingine ndogo ndogo tano zenye thamani ya Shilingi milioni 1.5. Kamanda amesema moto huo ulizimwa kwa msaada wa Kikosi cha Halmashauri ya Jiji kwa kushirikiana na wananchi.
SOURCE: Alasiri
NB: Bongo makampuni machache yanaedna bankrupt, mtu wakiona hapaeleweki wanachoma tu kiwanda au ofisi, eti vipi si vya sigara vimesababisha moto huo..haya bwana paul mhagama, kachukua hela zako za insurance, uanzishe biashara nyingine!! ...bongo ndio hiyo...hivi kweli kuna wanachunguzaga Arson?..

0 Comments:
Post a Comment
<< Home