Friday, July 21, 2006

Nini Kiini cha kuvurunda kwa michezo bongo(kandanda)?

waswahili! tumetoka kuangalia kombe la dunia last month na tumeona jinsi lilivyoenda na tumeona nchi zetu za ki-afrika zilivyokuwa..no suprises!. bongo ina matatizo mengi sana kuhusu michezo sijui mtu uanzie wapi. programs za michezo hamna, planning ni zero na kitu cha kusikitisha sana. Nchi yetu ni maskini sana tu, na nafikiri michezo ni njia nzuri ya kuweka wananchi kwenye level moja lakini serikali yetu pamaoja ya wizara yake ya michezo have no plans kufufua hii idara. Nafikiri ile idea ya kajumulo kununua timu na kuiendesha kama kampuni was a good idea lakini wabongo wakamuona "too corky"! mpaka leo hii timu kubwa kama simba na yanga hawawalipi wachezaji wao mshahara on time? wenyeviti na makatibu bado wale ambao hawajaenda shule so they have no plans or any effective way of managing the teams. Tuna uwezo wa kuweka budget kubwa kwa wilaya ambayo maendeleo yake hayaonekani , tunashindwa kuweka budget ya maan kwa michezo?..Kama nilivyosema , the change need to start from the top..Viongozi hao wa chama cha mpira waondolewe..tunahitaji vijana wenye muelekeo, mawazo, mikakati, na wasio tegemea chama kuilisha familia yake! Kwanini tunashindwa?.. I need contacts za viongozi wa FAT..
Mara ya mwisho kuwa kwneye mashindano makubwa ni 1980..kuna more than millions of Tanzania, hawajashughudia tanzania kucheza meaningful matches..Kama tukishindwa 2008(Afrikacan cup of nations), tunaweza kuzeeka bila kuoiona Tanzania tena kwenye ngazi za juu za kandanda. Tufanye nini?...

1 Comments:

Anonymous Anonymous said...

I really enjoyed looking at your site, I found it very helpful indeed, keep up the good work.
»

3:27 AM  

Post a Comment

<< Home